Search

566 results for Daniel Mjema :

  1. PRIME Mke wa Sumaye aibuka kidedea kortini

    Hukumu hiyo imetolewa jana Aprili 25, 2024 baada ya kusikilizwa ushahidi wa pande zote mbili za mgogoro na Mahakama kumtamka Esther ndiye mmiliki halali

  2. PRIME Mwalimu mkuu aliyehukumiwa kwa madai ya kumbaka mwanafunzi aachiwa huru

    Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamkende alidaiwa kubaka na kumpa dawa ya kumtoa mimba mwanafunzi Oktoba 10,2022 saa 1:00 usiku katika Kijiji cha Nyankende Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera

  3. PRIME Waliotuhumiwa kukodi wauaji kwa Sh1 milioni kwa maelekezo ya mganga waachiwa huru

    Jaji alisema ushahidi wa mashahidi tisa wa upande wa mashitaka ulikuwa hautoshelezi na hauaminiki kuwatia hatiani washtakiwa kwa kosa zito la mauaji ya kukusudia, ambapo kwa mujibu wa kifungu 196...

  4. PRIME Kete 96 za heroini zinavyomtesa raia wa Liberia kwa miaka 12

    Hoja zake za rufaa zote zatupwa kwa sababu hazina mashiko na hivyo ataendelea na kifungo na kulipa faini ya mamilioni ya shilingi.

  5. PRIME Aliyemuua baba yake wa miaka 80, kumzika ahukumiwa kifo

    Hukumu dhidi ya Erick Thomas imetolewa leo Aprili 17, 2024 na Jaji Deo John Nangela wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, ambaye katika hukumu hiyo alinza kwa kunukuu mstari wa Biblia “Na watoto...

  6. Hivi kweli Rais anatukanwa polisi mpo kimya?

    Wiki iliyopita, tumemsikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akisema wapo watu, wakiwamo mawaziri wanaowalipa watu fedha ili kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan mitandaoni, najiuliza hivi...

  7. PRIME Hivi ndivyo alivyomuua bodaboda aliyesoma naye na kumpora pikipiki

    Jaji amhukumu kunyongwa hadi kufa, wenzake wawili chupuchupu

  8. Rufaa dhidi ya Mbunge Gekul, hukumu leo

    Mbunge huyo alikuwa anakabiliwa na shtaka moja la shambulio

  9. PRIME Aliaga anakwenda kuleta mke, akarudi na maiti za ndugu zake wawili aliowaua

    Jaji Gladys Barthy wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara katika hukumu yake aliyoitoa Aprili 8, 2024 na nakala yake kupatikana katika mtandao wa mahakama leo Aprili 14, amemhukumu...

  10. PRIME Jinsi Dola 3,900 zilivyomtupa jela bosi wa  kampuni ya Utalii Arusha

    Mkurugenzi huyo akamuomba Mogasati kulipa ada hizo kwa masharti kuwa angezirejesha fedha hizo mara tu akaunti yake ikifunguliwa na Serikali, hivyo Mogasati akalipa Dola 7,800 za Marekani, sawa na...

    New Content Item (2)

Page 1 of 57

Next